Hii ni gari iliyotumika kunizungusha TANZANIA nzima kuwashukuru kwa kunipigia kura..!this time tena nawaombeni kura zenu. |
poziiiiiiii.....! |
Hapa nikiwa Nairobi na judge Iyan wa TPF |
Hii picha sina cha kuandia zaidi zaidi nahitaji coments zako...! |
Nipigie kura tafadhali |
Tabasam kidogo...............! |
TUSKER PROJECT FAME LOGO |
Hapa tulipozi na mshindi wa mwaka jana Davis...huyu jamaa alinipokonya tonge mdomoni..! |
My bro Desmond kutoka Nolllywood NIGERIA |
Hili ni tangazo la tusker nililoshiriki mwaka huu |
Hii nakumbuka ilikuwa show ya serengeti lager leaders club |
Steven, Davis na mimi mwenyewe |
No comments:
Post a Comment